SAA 10;00 jioni kikosi cha Yanga kitakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Namungo FC mchezo utakaochezwa Uwanja wa Ilulu, Lindi.
Hiki hapa kikosi rasmi ambacho kinatarajiwa kuanza leo mbele ya Namungo kusaka pointi tatu muhimu:-
Diarra Djidgui
Djuma Shaban
Kibwana Shomari
Dickson Job
Bakari Mwamnyeto
Yannick Bangala
Tonombe Mukoko
Jesus Moloko
Farid Mussa
Feisal Salum
Fiston Mayele