MWENDO wa Geita Gold kimataifa umegota mwisho leo Septemba 17,2022 baada ya kushinda kwa mabao 2-1 dhidi ya Hilal Al Sahil SC.
NI faida ya bao la ugenini wanapata wapinzani wa Geita Gold ambao mchezo wa kwanza uliochezwa ugenini walishinda kwa bao 1-0.
Juma ni mabao 2-2 wanakuwa wamefungana na kuifanya Geita Gold kufungashiwa virago kimataifa katika hatua za awali kwenye Kombe la Shirikisho msimu wa 2022/23.
Geita Gold wamewashukuru mashabiki wao kwa kujitokeza kuipa sapoti, Uwanja wa Azam Complex.
Related News
Germany's defender #15 Nico Schlotterbeck celebrates after scoring his team's second goal during the 2026 World Cup Group E football match between Germany and Curacao at the Houston Stadium in Houston on June 14, 2026. (Photo by RONALDO SCHEMIDT / AFP)