SIMULIZI ya shamba ambalo lilikuwa kwenye mgogoro
Jina langu ni Waithera kutoka katika kaunti ya Nairobi. Tulimiliki shamba katika mtaa wa kifahari wa Runda ambapo shamba hilo lilikuwa takriban ekari kumi. Mimi pamoja na mume
wangu tulikuwa na hati miliki ya shamba lile na hata tulikuwa tumejenga nyumba za kokodi
katika shamba hilo.
Muda ulivyosonga, mume wangu alipata ajali mbaya ya barabarani na kufariki alipokua akipokea matibabu katika Hospitali moja kubwa Nairobi.
Baada ya wiki moja hivi, palijitokeza jamaa mmoja mwenye mkwanja aliyedai kwamba alikuwa mmiliki wa
shamba letu.
Si hayo tu kwani pia alipeleka kesi kortini kufuatia swala hilo kwamba alitaka kulichukua shamba letu. Ama kwa hakika suala hilo lilinivunja moyo kama mjane kwani niliona
ujio wa jamaa yule kama ilikuwa ni uchokozi tu.
Alianza hata kunipa vitisho kwamba alinipa siku
chache ili niweze kumpa hati miliki za shamba lile. Sikuwa tayari kufuata wito wake kwani nilifahamu fika kwamba shamba lile lilikuwa langu na mimi na marehemu mume wangu ndio
tulikuwa wamiliki haswa wa shamba lile.
Baada tu ya kumzika mume wangu hali ilianza kuchacha kwani jamaa yule alikuwa akiwalipa vijana mtaani ili waweze kunitishia niligeze kamba na kutwaa shamba lile.
Mara kesi aliyoweka mbela ya korti kuhusu shamba ilianza na hapo nilikuwa mwenye wasiwasi kwamba jamaa yule
angeshinda kesi ile na kulichukua shamba langu.
Jamaa yule alikuwa ni mbunge katika eneo lile
na kwa hivyo alikuwa na uwezo wa hata kushurutisha kesi kuamuliwa kulingana na maoni na matamanio yake.
Ama kwa hakika nilikuwa mtu mwenye wasiwasi mkubwa. Hapo rafiki yangu Riziki kutoka kaunti ya Mombasa alinishauri kwamba palikuwepo na daktari wa miti shamba Kiwanga ambaye angesuluhisha suala lile kwa muda mfupi iwezekanavyo.
Alininipa namba ya daktari Kiwanga na hapo nikampigia simu na kutenga muda wa kuonana naye. Baada ya wiki
nilikuwa kwa dakatri yule.
Baada ya muda mambo yalikwenda vizuri na ishu ya kortin nayo iliweza kwenda sawa. Ushindi ukapatikana na haki ikaonekana kwangu.
Daktari Kiwanga hutibu maradhi kama kifua kikuu, kisukari, msukomo wa damu, kifafa na
magonjwa mengineyo.
Kwa mahojiano na daktari Kiwanga kwa ajili ya
kusuluhisha shida zako, piga simu kwa nambari +254769404965, barua pepe
kiwangadoctors@gmail.com ama tembelea wavuti wwww.kiwangadoctors.com kwa mengi.