Azam Kuungana Na Yanga New Aman Complex, Simba Kutumia Uhuru
Klabu ya Azam FC imetangaza rasmi kutumia Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, kwa ajili ya michezo yake ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC). Uamuzi huo unaifanya Azam FC kuungana na watani wao wa soka, Yanga SC, ambao pia watatumia uwanja huo kwa ajili ya michezo yao ya hatua ya makundi…