Mashujaa Queens Yamnasa Edna Lema ‘Mourinho’, Aanza Kazi Kwa Kuivaa Simba Queens

Mashujaa Queens imefanya mabadiliko katika benchi lake la ufundi baada ya kumtangaza rasmi Kocha Edna Lema ‘Mourinho’ kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania. Kupitia taarifa iliyotolewa leo, Novemba 10, 2026, klabu hiyo imemkaribisha kocha huyo ambaye amesaini mkataba wa mwaka mmoja, akipewa jukumu la kuiongoza timu hiyo katika…

Read More

Mystery Jackpot Kuinogesha Gates Of Meridian Ndani Ya Meridianbet

Mashabiki wa michezo wanajua kuwa burudani halisi inapatikana pale ambapo ushindani unakutana na msisimko. Katika soka, bao la dakika za mwisho linaweza kubadilisha kila kitu, huku katika michezo mingine ushindi ukitokana na kila hatua inayochukuliwa. Sasa Meridianbet inaleta mchezo mpya unaokuja na mazingira tofauti ya burudani. Unaitwa Gates of Meridian, umetengenezwa na Expanse na umeanza…

Read More