Arsenal Yainuka Dakika za Mwisho, Yailazimisha Bayern Sare ya 2-2
MUNICH, UJERUMANI: Arsenal imepambana na kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Bayern Munich katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, baada ya Declan Rice kufunga bao la kusawazisha dakika za mwisho, huku mshambuliaji Bukayo Saka akitoka uwanjani kutokana na jeraha. Kwa mujibu wa taarifa ya gazeti la The Sun, mchezo huo ulikuwa na ushindani…