TPLB Yatoa Pole Kwa Familia Ya Kocha Felix Aliyefariki Mwanza
Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), Nassor Idrissa, ametoa pole kwa familia ya marehemu Kocha Msaidizi wa Klabu ya Pamba Jiji, Themi Felix, aliyefariki dunia Oktoba 17, 2026, mkoani Mwanza. Kupitia taarifa iliyotolewa na Idara ya Habari na Mawasiliano ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania leo, Oktoba 18, 2026, Idrissa ametoa pole kwa…