Azam Yapata Sare Misri, APR Yakukubali Kichapo dhidi ya Zamalek Bao 1-0
CAIRO, Misri – Klabu ya Azam FC ya Tanzania imeanza kampeni yake ya kuwania kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) msimu wa 2026/27 kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya ZED FC ya Misri katika mchezo wa mkondo wa kwanza wa raundi ya pili ya hatua ya awali, uliopigwa kwenye Uwanja…