Barça na Arsenal vitani: Mechi kali za LaLiga na EPL zatamba leo

Mechi kali zinatarajiwa kupigwa kwenye viwanja mbalimbali huku tayari Meridianbet wakiwa wamekuwekea Odds za kuvutia. Je nani unampendelea zaidi kukupatia matokeo?. Jisajili hapa. Ligi kuu kule Hispania yaani LALIGA itaendelea ambapo Barcelona atakipiga dhidi ya  Rayo Vallecano ambapo mabingwa hao watetezi wanataka kuanza msimu wakiwa na kasi nzuri katika harakati za kutetea ubingwa wao. Chini…

Read More

Barcelona Yamvuta Gabriel Jesus Kutoka Arsenal Kwa €10m

Barcelona imefikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Brazil, Gabriel Jesus, kutoka Arsenal kwa thamani ya takriban €10 milioni (£8.6m), huku kukiwa na nyongeza kulingana na masharti ya mkataba. Uhamisho huo unakuja katika siku za mwisho za dirisha la usajili, baada ya Barcelona kushindwa kufikia makubaliano ya kumsajili mshambuliaji wa Atletico Madrid, Julián Álvarez….

Read More