Ratiba ya NBC Premier League mzunguko wa 4

Agosti 29,2026 NBC Premier League inaendelea kwa mechi 3 kali kukamilisha mzunguko wa 4. Kwa sasa vinara wa ligi ni Yanga SC ambao wameshinda mechi zote 4 wakiwa na pointi 12 ndani ya msimu wa 2026/27 nafasi ya pili ni Simba SC yenye pointi 12 tofauti ni idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa. Hizi…

Read More

Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FC

MABINGWA watetezi wa ligi, Yanga SC wameendeleza ubabe wao mbele ya Pamba Jiji FC kwa kusepa na pointi tatu mazima ndani ya uwanja. Baada ya dakika 90 Agosti 28, 2026 ilikuwa Yanga SC 2-0 Pamba Jiji FC, Uwanja wa KMC Complex. Mabao ya Yanga SC yalifungwa na Maxi Nzengeli dakika ya 17 na Ibrahim Toure…

Read More