Azam FC Yafunga Milango kwa Yanga na Simba Kumsajili Fei Toto
DAR ES SALAAM: Azam FC imesisitiza kuwa kiungo wake nyota, Feisal “Fei Toto” Salum, ataendelea kuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo licha ya kuwepo kwa taarifa zinazomhusisha na uwezekano wa kujiunga na Yanga SC au Simba SC katika dirisha hili la usajili. Afisa Mtendaji Mkuu Msaidizi wa Azam FC, Rashid Seif, amesema klabu hiyo…