Ghalib Said Mohamed Ahudhuria Yanga Day Uwanja wa Uhuru
Rais wa GSM Group, Ghalib Said Mohamed, amehudhuria hafla ya Yanga Day inayofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Ghalib aliwasili uwanjani na kupokelewa kwa hamasa na viongozi pamoja na mashabiki wa Yanga waliojitokeza kushuhudia tukio hilo. Mahudhurio yake yanaongeza uzito katika hafla hiyo ambayo imewakutanisha viongozi, wachezaji, benchi la ufundi na…