UEFA Europa League Third qualifying round Leg 1 of 2

Hii hapa ratiba ya UEFA Europa League Agosti 6,2026 KuPS vs Craiova, Agosti 6,2026 M. Tel Aviv vs CSKA Sofia Agosti 6,2026 Jagiellonia Bialystok vs Rangers Agosti 6,2026 RB Salzburg vs Pafos, Agosti 6,2026 Hradec Kralove vs Besiktas, Agosti 6,2026 … Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu…

Read More

Meridianbet Yazindua Rasmi Promosheni ya “Mzuka wa Mabingwa” kwa Watumiaji wa Airtel Money

Meridianbet imezindua rasmi promosheni ya Mzuka wa Mabingwa, kampeni inayowapa mashabiki wa michezo na kasino nafasi ya kujishindia zawadi kubwa kwa kutumia Airtel Money. Promosheni hii imekuja wakati ambao mashabiki wa burudani wanatafuta zaidi ya ushindi wa kawaida, kwa kuwa sasa kila dau linaweza kuleta zawadi nyingine ya ziada. Kwa kuweka dau lako la kuanzia…

Read More

Infantino Aomba Msamaha Baada ya Dosari za Mpango wa FIFA

Rais wa FIFA, Gianni Infantino, ameomba radhi kufuatia dosari zilizojitokeza katika mchakato wa kuwasilisha pendekezo la kuruhusu wawekezaji binafsi kuwekeza katika baadhi ya mashindano ya shirikisho hilo. Hatua hiyo imekuja baada ya viongozi wa FIFA kukiri kuwa kulikuwa na mapungufu ya kiutaratibu, hususan kutoshirikishwa ipasavyo kwa Baraza la FIFA na vyama wanachama kabla ya mpango…

Read More