Skip to content
Monday, September 21, 2026
  • Manchester City Yashinda 5-3, Haaland Aweka Rekodi
  • Bournemouth kukutana na Liverpool Ligi Kuu England leo
  • Yanga Yatozwa Faini Ya Sh Milioni 5, Afisa Usalama Apelekwa Kamati Ya Maadili
  • Raphinha Afunga Hat-Trick, Barcelona Yaendeleza Mwendo Wa Asilimia 100

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Manchester City Yashinda 5-3, Haaland Aweka Rekodi
  • Bournemouth kukutana na Liverpool Ligi Kuu England leo
  • Yanga Yatozwa Faini Ya Sh Milioni 5, Afisa Usalama Apelekwa Kamati Ya Maadili
  • Raphinha Afunga Hat-Trick, Barcelona Yaendeleza Mwendo Wa Asilimia 100

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • July
  • 17

July 17, 2026

  • Sports

Mzamiru Yassin Aaga Rasmi Simba Baada ya Miaka Tisa ya Utumishi

Saleh2 months ago01 mins

Klabu ya Simba SC imethibitisha rasmi kuachana na kiungo wake mkongwe Mzamiru Yassin, baada ya mkataba wake kumalizika, ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya kikosi kuelekea msimu wa mashindano wa 2026/27. Mzamiru, ambaye ameihudumia Simba kwa takribani miaka tisa, anaondoka akiwa mmoja wa wachezaji walioacha alama ndani ya kikosi hicho kutokana na mchango wake katika…

Read More
  • International
  • Sports

Mechi za Moto Leo: Levante, Benfica na Villarreal Kwenye Kipimo Kigumu

Saleh2 months ago03 mins

Kuelekea kurejea msimu mpya wa ligi, timu zinaendelea kujaribu vikosi kwa kucheza mechi za kirafiki kujua nani ni nani huku nafasi ya wewe kujiondokea na mkwanja wa maana ikiwa nzuri kabisa. Baada ya kupanda ligi kuu kule Hispania, Levante wataumana dhidi ya Sheffield United ambao wanataka kufanya vyema msimu ujao. Ikumbukwe kuwa wenyeji wamepanda daraja…

Read More
  • International
  • Sports

Messi Afunguka Baada ya Argentina Kutinga Fainali Kombe la Dunia, Aitahadharisha Hispania

Saleh2 months ago02 mins

Nahodha wa Argentina, Lionel Messi, amesema hakushangazwa na uwezo wa timu yake kupindua matokeo na kuiondoa England kwa ushindi wa mabao 2-1 katika nusu fainali ya Kombe la Dunia 2026, akisisitiza kuwa umoja na moyo wa kupambana ndio siri ya mafanikio yao. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Atlanta, Argentina ilitoka nyuma na kupata ushindi…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.