Msichana wa Maisha Yangu ipo mezani tayari

BAADA ya kusubiri kwa muda ile simulizi nzuri ya maisha na masuala ya teknolojia kutoka kwa Best Seller Author, Lunyamadzo Mlyuka hatimaye kazi imefika mezani. Ni yuleyule mtunzi wa Msichana wa Maisha Yangu na Moyo Wangu Unavuja Damu safari hii amekuja na kazi mpya inayoitwa Msichana wa Maisha Yangu. Kwa ufupi kuhusu simulizi: Tatizo la…

Read More

Jitose Kwenye Kina cha Bahari na Ushinde Kupitia Meridian Scatter Whale

Wapenzi wa michezo ya kasino siku zote hutafuta kitu kipya kinachoweza kuwapa burudani ya kipekee pamoja na msisimko wa ushindi, na safari hiyo sasa imepata mwelekeo mpya kupitia Meridian Scatter Whale kutoka Meridianbet. Huu ni mwaliko wa kuingia kwenye ulimwengu wa bahari uliojaa maajabu, siri na fursa zisizohesabika za kujishindia zawadi zinazovutia. Kuanzia unapoufungua mchezo…

Read More