betPawa yadhamini ligi ya kikapu Dar es salaam kwa Sh588.9m
Wachezaji wanaoshiriki Ligi ya Mpira wa Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) wanatarajiwa kunufaika na uwekezaji wa mwaka mmoja wenye thamani ya Sh588.9 milioni katika msimu wa 2026. Kwa mujibu wa mkataba uliosainiwa juzi kati ya kampuni ya michezo ya kubashiri ya betPawa kwa ajili ya kuongeza udhamini kwa msimu mmoja, wachezaji watalipwa fedha…