Skip to content
Friday, July 10, 2026
  • Simba na Singida Black Stars Zatupwa Kundi la Moto CECAFA Kagame Cup 2026
  • Mashabiki Waipokea Kwa Shangwe Timu ya Misri Baada ya Kuandika Historia Kombe la Dunia
  • Robo Fainali ya Moto! Hispania na Ubelgiji Kurudisha Kumbukumbu za 1986
  • Ufaransa Yaiondoa Morocco, Yatinga Nusu Fainali ya Kombe la Dunia

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Simba na Singida Black Stars Zatupwa Kundi la Moto CECAFA Kagame Cup 2026
  • Mashabiki Waipokea Kwa Shangwe Timu ya Misri Baada ya Kuandika Historia Kombe la Dunia
  • Robo Fainali ya Moto! Hispania na Ubelgiji Kurudisha Kumbukumbu za 1986
  • Ufaransa Yaiondoa Morocco, Yatinga Nusu Fainali ya Kombe la Dunia

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • July
  • 10

July 10, 2026

  • International
  • Sports

Simba na Singida Black Stars Zatupwa Kundi la Moto CECAFA Kagame Cup 2026

Saleh39 minutes ago01 mins

Makundi ya michuano ya CECAFA Kagame Cup 2026 yametangazwa rasmi, huku baadhi ya klabu kubwa za Afrika Mashariki na Kati zikitarajiwa kukutana katika mechi zenye ushindani mkali. Mabingwa wa Rwanda, APR FC, wamepangwa Kundi A pamoja na Vipers SC ya Uganda, Gor Mahia ya Kenya na Garde Républicaine ya Djibouti. Kundi B linazikutanisha timu za…

Read More
  • International
  • Sports

Mashabiki Waipokea Kwa Shangwe Timu ya Misri Baada ya Kuandika Historia Kombe la Dunia

Saleh47 minutes ago03 mins

El Alamein, Misri — Mamia ya mashabiki wa soka nchini Misri wamejitokeza kwa furaha kubwa kuwapokea wachezaji wa timu yao ya taifa, maarufu kama Pharaohs, baada ya kufanya vizuri zaidi katika historia yao kwenye Kombe la Dunia. Timu hiyo ilirejea nchini Ijumaa baada ya safari yao ya Kombe la Dunia 2026 kumalizika kwa kichapo cha…

Read More
  • Sports

Robo Fainali ya Moto! Hispania na Ubelgiji Kurudisha Kumbukumbu za 1986

Saleh3 hours ago02 mins

Kuna mechi ambazo zinabeba historia zaidi ya matokeo yenyewe. Hii ni mojawapo. Miaka 40 iliyopita, kwenye uwanja wa Puebla, Mexico, Ubelgiji walimshinda Hispania kwenye mikwaju ya penati katika hatua hii hii ya robo fainali. Sasa, kizazi kipya cha wachezaji ambao wengi wao hawakuwa wamezaliwa mwaka huo wanarithi ushindani huo kwenye jukwaa kubwa zaidi la mpira…

Read More
  • Sports

Ufaransa Yaiondoa Morocco, Yatinga Nusu Fainali ya Kombe la Dunia

Saleh8 hours ago02 mins

Ndoto ya Morocco ya kurudia mafanikio ya kutinga nusu fainali ya Kombe la Dunia imefikia tamati baada ya kufungwa mabao 2-0 na Ufaransa katika mchezo wa robo fainali uliochezwa usiku wa kuamkia leo. Morocco ilionyesha uimara mkubwa, huku kipa Yassine Bounou akiokoa mkwaju wa penalti wa Kylian Mbappe katika dakika ya 25 na kufanya save…

Read More
  • Entertainment

Kuwa Wa Kwanza Kuicheza 12 Masks of Fire: Night Fever Ukiwa na Meridianbet

Saleh17 hours ago3 hours ago03 mins

Wapo wanaosubiri habari mpya zisambae ndipo wachukue hatua, na wapo wanaochagua kuwa wa kwanza kuonja kila jambo jipya kabla halijawa gumzo. Ikiwa wewe ni miongoni mwa wanaopenda kuwa mbele ya wakati, Meridianbet imekuandalia nafasi ambayo haitokei mara kwa mara. Kupitia uzinduzi maalum wa 12 Masks of Fire: Night Fever, sasa unaweza kuingia kwenye moja ya…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.