Trump Aingilia Kati, FIFA Yamruhusu Balogun Kucheza Dhidi ya Belgium
FIFA imeondoa adhabu ya kutocheza mechi moja kwa mshambuliaji wa Marekani, Folarin Balogun, baada ya Donald Trump kuripotiwa kuwasiliana na Rais wa FIFA, Gianni Infantino, akiomba kadi nyekundu aliyopewa mchezaji huyo ipitiwe upya. Balogun alikuwa amepewa kadi baada ya kumkanyaga kifundo cha mguu mchezaji wa Bosnia na Herzegovina, Tarik Muharemović, katika ushindi wa mabao 2-0…