Arsenal Wakataliwa Kumnunua Nahodha wa Newcastle
Klabu ya Newcastle United F.C. inaonyesha nia ya kumsajili kiungo wa Borussia Dortmund, Felix Nmecha, huku mpango huo ukijitokeza wakati Arsenal F.C. ikikumbana na msimamo mkali wa Newcastle kuhusu nahodha wao Bruno Guimarães. Ripoti zinaeleza kuwa kocha Eddie Howe ni shabiki mkubwa wa Nmecha na alikuwa karibu kumsajili mwaka 2023 kabla ya klabu hiyo kuamua…