Cristiano Ronaldo na Al Nassr FC Walivyosherekea Ubingwa wa Saudi Pro League
Cristiano Ronaldo amefunga mabao mawili na kuisaidia Cristiano Ronaldo pamoja na klabu yake Al Nassr FC kutwaa ubingwa wa Saudi Pro League baada ya ushindi wa 4–1 dhidi ya Damac FC katika mchezo wa mwisho wa msimu. Huu ni ubingwa wa 11 kihistoria kwa Al Nassr na wa kwanza tangu kuwasili kwa Ronaldo klabuni hapo,…