Mashujaa FC 0-1 Azam FC, CRDB Federation Cup
Mashujaa FC 0-1 Azam FC, CRDB Federation Cup ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa leo Mei 17, 2026 hatua ya robo fainali CRDB Federation Cup. Matajiri wa Dar wameibuka na ushindi huo katika Uwanja wa Lake Tanganyika mwisho wa reli Kigoma kwa goli ambalo lilipachikwa dakika 45 za mwanzo. Anaitwa Idd Suleman maarufu kwa jina…