Clatous Chama amefunga magoli matatu Mei

Kiungo mshambuliaji wa Simba SC, Clatous Chama ametwaa tuzo ya Man of the Match mara baada ya mchezo. Mwamba wa Lusaka alifunga goli moja katika mchezo huo alikuwa kwenye ubora. Inakuwa ni tuzo yake ya tatu mfululizo kwenye mechi za Mei. Alianza kukusanya tuzo Simba SC 2-2 Yanga SC, hapa alifunga goli moja na pasi…

Read More

Simba SC 4-0 Tanzania Prisons

Simba SC 4-0 Tanzania Prisons ni matokeo ya mchezo wa NBC Premier League, Mei 10, 2026 uliokuwa na ushindani mkubwa. Magoli yakifungwa na Morice Abraham dakika ya 27, Clatous Chama dakika ya 41, Seleman Mwalimu dakika ya 43 na Ismail Traore dakika ya 61. Mwalimu alikosa penati dakika ya 11 baada ya Anthon Mligo kuchezwa…

Read More