KVZ vs Azam FC ni leo

Kombe la Muungano leo Jumatano Aprili 22, 2026 linaendelea ikiwa ni hatua ya robo fainali kwa wababe wawili kushuka uwanjani kusaka tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali. Uwanja wa New Amaan saa 1:15 usiku utapigwa mchezo mmoja utakaowakutanisha KVZ vs AzamFC. Kocha Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge amesema wapo tayari kwa mchezo huo…

Read More

Simba SC ndani ya Zanzibar

KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu,Steve Barker kimewasili Zanzibar leo Aprili 22, 2026 kwa maandalizi ya mwisho mchezo wa robo fainali Muungano Cup. Timu hiyo inatarajiwa kutupa kete yake ya kwanza Aprili 23, 2026 itakuwa dhidi ya Mafunzo SC, saa 2:15 usiku. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga SC ambao…

Read More