Chelsea Kukipiga Dhidi ya Man United leo Usiku, Nani Atatoka na Ushindi?
Jumamosi hii kule Uingereza kutakuwa na mitanange mingi, lakini Chelsea vs Man United ndio mechi kubwa itakayopigwa siku hiyo huku kila timu ikitaka ushindi mnono. Mechi kati ya Chelsea vs Manchester United ndani ya EPL Jumamosi, inakuja ikiwa na uzito mkubwa kutokana na msimamo wa ligi na malengo tofauti ya timu hizi mbili. Kwa mujibu…