FT: Mbeya City 0-0 Azam FC
UBAO wa Tanzanite Kwaraa, Manyara umesoma Mbeya City 0-0 Azam FC NBC Premier League leo Aprili 9, 2026. Wababe hawa wawili wamekamilisha dakika 90 bila kufungana kwenye mchezo wa leo uliokuwa na ushindani mkubwa ndani ya uwanja. Matokeo hayo yanaifanya Mbeya City kufikisha jumla ya pointi 17 ikiwa nafasi ya 12 huku Azam FC nafasi…