TDS U17 vs Fountain Gate kukipiga fainali mashindano ya kusaka vipaji
Fountain Gate Academy ya Morogoro imetinga hatua ya fainali katika mashindano ya kusaka vipaji yaliyofanyika Viwanja vya TFF Center, Kigamboni. Ni TDS U17 vs Fountain Gate watakutana katika mchezo wa fainali kusaka bingwa baada ya kukata tiketi yakutinga kwenye hatua hiyo. Mashindano hayo ambayo yameongezewa nguvu na EMWANI fainali yake inatarajiwa kuchezwa kesho, Machi 29,…