Jonathan Sowah hatihati kuondoka Simba SC
MSHAMBULIAJI namba moja wa Simba SC, Jonathan Sowah kuna hatihati kuondoka ndani ya kikosi hicho kutokana na tatizo la nidhamu. Sowah ndani ya NBC Premier League amefunga magoli matatu akiwa ni miongoni mwa wachezaji wenye magoli mengi ndani ya kikosi hicho. Kwa sasa Sowah hayupo kwenye mipango ya timu hiyo kutokana na kile kilichoelezwa alisimamishwa…