Mwalimu wa Kiingereza wa Mastaa wa Bongo Fleva, Allen Ngonyani Afariki Dunia

Mwalimu aliyewasaidia mastaa wakubwa wa muziki wa Bongo Fleva, akiwemo Diamond Platnumz, Harmonize na Rayvanny, kuzungumza Kiingereza kwa ufasaha, Allen Ngonyani, amefariki dunia mapema asubuhi ya leo katika Hospitali ya Geza, Kigamboni, jijini Dar es Salaam, alikokuwa anapatiwa matibabu. Akizungumza na Global TV Online, mmoja kati ya ndugu wa karibu wa marehemu amesema kuwa Ngonyani…

Read More