Uki-JIMIXX na Meridianbet, Ushindi Unakuwa Zaidi ya Dau

Kama wewe ni mbashiri unayetafuta zaidi ya matokeo ya mkeka, basi huu ni wakati wako. Kupitia ushirikiano wa nguvu kati ya Meridianbet na Mixx by Yas, kampeni ya JIMIXX na Ushindi Bab Kubwa inapatikana pale Meridianbet kwa lengo la kuwapa wateja thamani halisi ya kila shilingi wanayoweka.

Wabashiri wote wana nafasi ya kushinda zawadi za kila siku, kila wiki na zawadi kubwa za mwisho wa promosheni. Hii ni kampeni inayounganisha urahisi wa malipo ya kidigitali na burudani ya kasino mtandaoni, ikiweka mazingira bora kwa mteja kufurahia na kushinda kwa wakati mmoja.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Unachotakiwa kufanya ni kuweka dau la kuanzia Tsh 5,000 au zaidi kupitia Mixx by Yas kwenda kwenye akaunti yako ya Meridianbet. Mara tu unapokamilisha, unafunguliwa mizunguko ya bure kwenye michezo ya kasino kutoka Expanse Studios, nafasi ya ziada ya kushinda bila gharama ya ziada.

Kila wiki, washindi wawili wanaondoka na simu mpya Samsung A26, huku zawadi kuu zikiwa ni Bajaj mpya 2, Pikipiki Boxer na TV ya Hisense inch 55. Hizi ni zawadi zinazobadilisha maisha na kuongeza ladha ya ushindi kwa kila anayethubutu kushiriki.

Kushiriki ni rahisi, tumia Mixx Super App au piga *150*01#, chagua Malipo ya Bili, ingiza Namba ya Biashara 444999 na kiasi chako. Droo hufanyika kila Jumatano na Ijumaa. Ukiwa tayari kushinda kwa kiwango kingine, huu ndio muda wa ku-JIMIXX na Meridianbet.