Je unajua kuwa Meridianbet ndio wakali wa Odds Tanzania?. Yaani namaanisha kuwa ukitaka Odds kubwa na za kibabe wewe njoo hapa na ubashiri leo. Lakini pia unaweza ukaibuka bingwa kwani machaguo ni mengi hapa.
PSG atakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya AS Monaco huku hawa wote wakiwa wanakipiga kule ligi kuu ya Ufaransa yaani LIGUE 1. Kwenye ligi wanatofautina pointi 23 hadi sasa, na mara ya mwisho kukutana kati yao vijana wa Enrique walipoteza. Leo hii nafasi ya kushinda anapewa bingwa mtetezi. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi wakiwa ugenini?. Suka jamvi hapa.
Mechi nyingine ya kibabe kabisa ni hii ya Benfica vs Real Madrid ambao ni mabingwa mara nyingi wa michuano hii wakiwa na vikombe hivi 15 hadi sasa. Timu hizi mbili zilikutana kwenye hatua ya makundi ambapo vijana wa Jose Mourinho waliondoka na ushindi. Mechi mbili zitaamua nani kwenda hatua inayofuata. Je vijana wa Alvaro wataanzaje mechi hii ya kwanza ugenini?. Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii. Jisajili hapa.
Piga pesa kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Galatasaray atamenyana dhidi ya Juventus kuwania nafasi ya 16 bora ambapo wawili hawa mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2013 na Mturuki aliondoka na pointi 4. Hii ni mechi ambayo kila timu inahitaji ushindi kwa hali na mali ili iweze kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu hatua inayofuata. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Pia mechi kali ya kubashiri ni hii ya Borussia Dortmund dhidi ya Atalanta kutoka Italia ambao Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA. Kila timu inahitaji ushindi mkubwa kwenye mechi hii ili ianze vyema mechi hizi za Play Offs. Mara ya mwisho kukutana ilikuwa ni 2018 na hakuna ambaye alikuwa mabbe kati yao. Tengeneza jamvi lako na Meridianbet leo.