Simba SC 3-0 Greenland FC CRDB Federation Cup
Simba SC 3-0 Greenland FC matokeo ya dakika 90 mchezo wa CRDB Federation Cup hatua ya 64 bora Uwanja wa Mej Isahmuyo. Magoli ya Simba SC yamefungwa na Baraka Mwangosi dakika ya 13, Anthony Mligo dakika ya 45 na kamba ya tatu imefungwa na Neo Maema dakika ya 90. Mwangosi amefunga goli hilo akitumia makosa…