Jadon Sancho na Saweetie Waonekana Paris Wakiwa Wameshikana Mikono
Winga wa England, Jadon Sancho, alionekana jijini Paris akiwa ameshikana mikono na mpenzi wake, rapa wa Marekani Saweetie, katika tukio lililoonyesha wazi mahusiano yao hadharani. Sancho, anayekipiga kwa mkopo katika klabu ya Aston Villa akitokea Manchester United, alionekana akiwa amevalia beanie nyeusi, jaketi la ngozi, fulana nyeusi na jeans, huku Saweetie (32) akivutia kwa koti…