Al Ahly 2-0 Yanga SC CAF Champions League
Januari 23,2026 Al Ahly 2-0 Yanga SC CAF Champions League pointi tatu zimebaki kwa wenyeji ambao wanaongoza kundi B kwa sasa. Mchezo huo umechezwa Uwanja wa Borg El Arab huku nyota wa Al Ahly Mahmoud Trezeguet akifunga magoli yote mawili. Alianza dakika ya 45+3 zikiwa zimesalia sekunde kadhaa kaba ya timu kwenda mapumziko alipofunga goli…