Nyumba Mpya ya Kisasa Inauzwa Mapinga – Hati Miliki, Bei Poa!
NYUMBA YA KISASA INAUZWA – MAPINGA Eneo: Mapinga, kilomita 1 tu kutoka Bagamoyo Road Bei: Milioni 150 (maongezi yapo) Ukubwa wa kiwanja: 1,200 sqm Document clean TITLE DEED ( Hati miliki kutoka wizara ya aridhi) MAELEZO YA NDANI ◇Vyumba 4 vya kulala (2 Master ◇Bedrooms – Self Contained) ◇Sebule kubwa yenye mwanga wa kutosha ◇Chumba…