Beki aliyetakiwa Simba SC ameanza kazi SBS

BEKI aliyekuwa anatajwa kuwa kwenye rada za Simba SC ya Dar tayari ameanza kazi ndani ya Singida Black Stars ikiwa ni majukumu mapya. Anaitwa Abdalah Said maarufu kwa jina la Lanso beki aliyekuwa chaguo la kwanza katika kikosi cha KMC kinachotumia Uwanja wa KMC Complex kwa mechi za nyumbani. Lanso tayari ni mchezaji mpya ndani…

Read More

Paa Na Super Heli Kwa Fursa za Ushindi Zisizo na Kikomo Kutoka Meridianbet

Karibu kwenye ulimwengu wa Super Heli, mchezo unaokuletea msisimko wa kweli na zawadi zisizo na kifani. Meridianbet inakualika kujiunga na burudani hii, ambapo kila sekunde unayoicheza inakukutanisha na nafasi zako za ushindi. Wiki mbili tu zimebaki hadi kilele cha promosheni hii, na kila raundi unayoicheza ni hatua moja karibu na zawadi kubwa. Hii ni nafasi…

Read More