Ahmed Ally: Ukiona kuna timu inaongoza ligi imetuzidi mchezo
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa ikiwa kutakuwa na timu inaongoza ligi basi itakuwa imewazidi mchezo. Msimu wa 2025/26 vinara wa ligi ni Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Pedro Goncalves ni mechi nne wamecheza wakiwa na pointi 10 kibindoni. Simba SC kwenye msimamo nafasi ya pili baada…