PACOME ZOUZOUA KUBAKI YANGA MPAKA 2027
Kiungo mahiri kutoka Ivory Coast, Pacome Zouzoua,inasemekana ameshasaini mkataba mpya na klabu ya Yanga SC siku nyingi zilizopita, muda mfupi tu baada ya fainali ya Kombe la CRDB. Kwa mujibu wa taarifa za ndani, mkataba huo wa miaka miwili ulitayarishwa na kusainiwa kipindi hicho, huku mpunga ukishalipwa rasmi fedha ambazo Zouzoua hakupoteza muda kuzitumia kujenga…