Zimebaki Siku Mbili Pekee Kujishindia Samsung Galaxy A25 Mpya
Hii ni simu ya ukumbusho kutoka kwa mpigaji Meridianbet kwenda kwa mpokeaji na ujumbe wake ni mmoja tu, zimebaki siku mbili pekee. Ndiyo, ni siku mbili tu kabla ya pazia kufungwa rasmi kwa promosheni kubwa inayowapa wateja nafasi ya kushinda simu mpya ya kisasa, Samsung Galaxy A25, kupitia Meridianbet. Mwezi wa Julai umekuwa na mvumo…