RATIBA ya AFCON leo na matokeo

RATIBA ya AFCON 2025, Morocco Desemba 24,2025, Jumatano Burkina Faso vs Equatorial Guinea, saa 9:30 alasiri Algeria vs Sudan, saa 12:00 jioni Ivory Coast vs Msumbiji, saa 2:30 usiku Cameroon vs Gabon, saa 5:00 usiku Matokeo ya Jumanne, Desemba 23, 2025 Congo Dr 1-0 Benin, saa 9:30 alasiri Senegal 3-0 Botswana, saa 12:00 jioni Nigeria…

Read More

Prince Dube na rekodi yake AFCON 2025

PRINCE Dube mshambuliaji namba moja wa kikosi cha Yanga SC ameandika rekodi yake kwa msimu wa 2025/26 kwenye mashindano makubwa Afrika. Dube yupo katika majukumu ya timu ya taifa ya Zimbabwe alianza kikosi cha kwanza mchezo dhidi ya Misri ambao ni wa hatua ya makundi. Katika mchezo huo baada ya dakika 90 ubao ulisoma Misri…

Read More

Meridiansport Yawakumbuka Watoto Yatima wa Faraja Orphanage Centre

Meridianbet imeendelea kudhihirisha kuwa mafanikio ya biashara yanaenda sambamba na kugusa maisha ya jamii kwa vitendo, baada ya kutembelea kituo cha watoto yatima cha Faraja Care Orphanage Centre kilichopo Mburahati. Kupitia ziara hiyo ya kijamii, kampuni hiyo ililenga kuleta tabasamu na matumaini mapya kwa watoto wanaolelewa katika kituo hicho, hususan katika kipindi hiki cha kuelekea…

Read More