Magori Afunguka: Simba Haijayumba Kama Inavyosemwa, Kelele Zinakuzwa
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Klabu ya Simba SC, Crescentius Magori, amevunja ukimya na kueleza sababu zilizochangia kuyumba kwa kiwango cha timu katika baadhi ya michezo ya hivi karibuni, akisisitiza kuwa hali halisi haiko mbaya kama inavyotafsiriwa na baadhi ya wadau wa soka. Akizungumza kuhusu changamoto za kiufundi, Magori amesema mabadiliko ya benchi la…