Kuwait vs Tanzania, Novemba 15,2025
TIMU ya Taifa ya Tanzania inayofundishwa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Novemba 15,2025 itakuwa kazini kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Kuwait. Tayari kikosi cha Tanzania kipo nchini Misri kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo huo miongoni mwa hao ni Mohamed Hussen Zimbwe Jr, Kelvin John, Shomari Kapombe, Bakari Nondo. Kelvin John amesema:…