Matokeo Darasa la Saba 2025 Yatangazwa Yapo HAPA, Asilimia 81.8 ya Watahiniwa Wamefaulu

Dar es Salaam, Novemba 5, 2025 — Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Prof. Said A. Mohamed, ametangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi (MTEM) 2025 katika hafla iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam. Taarifa hiyo inaonesha kuwa kati ya watahiniwa 1,146,164 waliojihusisha na mtihani huo, watahiniwa 937,581 sawa…

Read More

Yanga Kutumia Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar kwa Mechi Zake za Nyumbani za Makundi

Klabu ya Yanga SC imetangaza rasmi kuwa itacheza mechi zake zote tatu za nyumbani katika hatua ya makundi ya michuano ya kimataifa kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, visiwani Zanzibar. Akizungumza kupitia taarifa rasmi ya klabu, Ofisa Habari wa Yanga SC, Ali Kamwe, amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya uongozi kufanya tathmini ya kina na…

Read More