Aliyewahi kuwa CEO wa Simba na Yanga, Senzo Mazingiza, kujiunga na TRA Sports Club!
Taarifa zinaeleza kuwa Senzo Mazingiza, aliyewahi kuwa Mtendaji Mkuu (CEO) wa vilabu vikubwa vya Tanzania — Simba SC na Yanga SC, anatarajiwa kujiunga na TRA Sports Club kama CEO mpya wa klabu hiyo. Senzo anatajwa kupewa jukumu la kuboresha mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo, kuijenga katika misingi imara ya kisasa ya soka, na kuhakikisha…