Yanga SC yaibamiza Mtibwa Sugar 2-0 KMC Complex, Zimbwe Jr mchezaji bora
Yanga SC imepata ushindi wa mabao 2-0 Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa NBC Premier League uliochezwa Uwanja wa KMC Complex. Oktoba 28,2025 wababe hao wawili walikutana kusaka pointi tatu, Mtibwa Sugar waliingia kwa mbinu ya kujilinda zaidi hali iliyofanya wachezaji wa Yaga SC kufanya majaribio mengi wakiwa nje ya 18 ambayo yalifanikiwa kuzama kambani. Mabingwa…