Yanga SC yatwaa taji la Ngao ya Jamii mbele ya Simba SC
YANGA SC chini ya Kocha Mkuu, Romain Folz imetwaa taji la Ngao ya Jamii kwa ushindi mbele ya watani zao wa jadi Simba SC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Bao pekee la ushindi kwa Yanga SC limefungwa na Pacome dakika ya 53 akiwa ndani ya 18 akimfunga kipa Moussa Camara ambaye alianza kikosi cha…