Skip to content
Friday, July 3, 2026
  • Simba SC hesabu zimehamia CRDB Cup
  • Hispania vs Austria: Vita Kali Kusaka Tiketi ya 16 Bora Kombe la Dunia
  • England Yaibuka na Ushindi wa 2-1, Kane Afunga Mabao Mawili Dhidi ya DR Congo
  • Bayern Munich Yasajili Ismael Saibari kwa Ada ya Dola Milioni 63

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Simba SC hesabu zimehamia CRDB Cup
  • Hispania vs Austria: Vita Kali Kusaka Tiketi ya 16 Bora Kombe la Dunia
  • England Yaibuka na Ushindi wa 2-1, Kane Afunga Mabao Mawili Dhidi ya DR Congo
  • Bayern Munich Yasajili Ismael Saibari kwa Ada ya Dola Milioni 63

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2025
  • August
  • 14

August 14, 2025

  • Sports

YANGA YATOA UFAFANUZI KUHUSU MCHANGO WA CCM WA SHILINGI MILIONI 100

Saleh11 months ago01 mins

Uongozi wa Yanga SC umetoa ufafanuzi kuwa mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa CCM tarehe 12 Agosti 2025, ulitolewa na GSM Foundation inayosimamiwa na mdhamini wa klabu, Ghalib Said Mohammed, na haukutoka kwenye hela za wanachama au mfuko wa klabu. Yanga pia imesema radhi kwa wanachama na mashabiki kwa sintofahamu iliyotokea kutokana na taarifa hiyo.

Read More
  • Sports

SIMBA YAMTAMBULISHA NABY CAMARA KWA MKATABA WA MIAKA MIWILI

Saleh11 months ago11 months ago01 mins

Klabu ya Simba SC imethibitisha kumsajili kiungo kiraka raia wa Guinea, Naby Camara, kama mchezaji huru kwa mkataba wa miaka miwili, utakaomuweka klabuni hapo hadi mwaka 2027. Camara mwenye umri wa miaka 23 ana uwezo wa kucheza nafasi ya kiungo wa kati na beki wa kushoto. Anasajiliwa ili kuongeza nguvu kwenye upande wa kushoto wa…

Read More
  • Sports

MCHAMBUZI SALEH JEMBE ATOA MAONI KUHUSU MCHANGO WA YANGA SC KWA CCM

Saleh11 months ago01 mins

Mchambuzi mashuhuri wa soka Bongo, @salehjembefacts, ametoa maoni yake kuhusu kitendo cha klabu ya Yanga SC, chini ya uongozi wa Rais wake Injinia Hersi Said, kuchangia Shilingi milioni 100 kwenye harambee ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa ajili ya kampeni za uchaguzi. Saleh Jembe amesisitiza kwamba kitendo hicho kimevutia hisia mchanganyiko miongoni mwa mashabiki wa…

Read More
  • Entertainment

MERIDIANBET WASAIDIA MAMA NTILIE WA MWENGE

Saleh11 months ago11 months ago02 mins

Katika dunia ya leo inayohitaji mshikamano wa kijamii na mshikamano wa kiuchumi, kampuni ya Meridianbet imeendelea kudhihirisha dhamira yake ya kweli ya kusaidia jamii kwa vitendo. Kwa mara nyingine tena, Meridianbet imejitokeza kuwa bega kwa bega na wanawake wa Kitanzania kupitia zoezi la ugawaji wa aprons kwa mama ntilie maeneo ya Mwenge. Meridianbet siku zote…

Read More
  • Sports

ODDS KUBWA NA USHINDI WA AJABU NA BET BOOST YA MERIDIANBET

Saleh11 months ago11 months ago02 mins

Ukiwa muwekezaji mzuri wa kubashiri michezo, basi unatambua kwamba kila nafasi ya kuongeza ushindi unayoipata ni kama dhahabu. Meridianbet, kwa kulitambua hilo inawapa wateja wake fursa ya kipekee kupitia huduma ya Bet Boost, ambayo inaleta mapinduzi ya kuongeza odds na kukuweka hatua moja karibu na ushindi wa kiwango cha juu. Huduma ya Bet Boost imetengenezwa…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.