SIMBA WATANGAZA TENDA YA MTENGENEZA JEZI MWINGINE

Klabu ya Simba imetangaza tenda ya kutafuta mwekezaji mpya kwa ajili ya kuzalisha na kusambaza jezi na bidhaa nyingine za klabu hiyo baada ya kufanya kazi na Sandaland Only one kwa kipindi kifupi, nafasi aliyoichukua kutoka kwa Fred Vunja bei. CALL FOR APPLICATION: Simba Sports Club (“the Club”) is looking for a qualified, experienced and…

Read More

DUBE GARI LIMEWAKA, MWENDO UONGEZWE

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Prince Dube gari limewaka wanasema kutokana na kasi yake kuzidi kuimarika kwenye kucheka na nyavu kwenye mechi za ushindani ndani ya uwanja. Bado ana deni la kuongeza mwendo ili kufunga mabao mengi kwa kuwa kwenye mechi za hivi karibuni amekuwa akikosa umakini kwenye nafasi anazopata kamailivyokuwa kwenye mchezo wa ligi dhidi ya…

Read More

ANZA WIKI KWA KUPIGA MAOKOTO NA MERIDIANBET

Wiki ndio hiyo imeanza na matumaini mapya kwa wewe ambaye ulishindwa kutusua wikendi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo Meridianbet. Ingia na ubashiri sasa. Tukianza na Hispania LALIGA itaendelea kwa mchezo mmoja ambapo Girona baada ya kupoteza mechi iliyopita, leo hii atakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya UD Las Palmas ambao wapo nafasi ya…

Read More

SIMBA YACHEKELEA KULIPA KISASI KWA TABORA UNITED

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa umefurahi kulipa kisasi dhidi ya timu ambazo zilifungwa na Tabora United kwenye mechi za ushindani ambazo zilichezwa msimu wa 2024/25 ndani ya uwanja. Simba imecheza mechi 16 za Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na NBC ikiwa ni ligi namba nne kwa ubora Afrika. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu…

Read More

MCHEZAJI BORA YANGA AFICHUA JAMBO

MCHEZAJI bora kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex, Maxi Nzengeli amesema kuwa mwalimu wa timu hiyo anahitaji kujituma zaidi katika mechi za ushindani. Katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa KMC, Complex Februari Mosi baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga 4-0 Kagera Sugar ambapo Maxi…

Read More