MASHUJAA WAZIPIGIA HESABU POINTI ZA DODOMA JIJI
BAADA ya kupoteza mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Mashujaa FC wameweka wazi kwamba mpango wao ni kupata pointi tatu dhidi ya Dodoma Jiji. Ipo wazi kwamba Februari 8 2024 ubao wa Uwanja wa Azam Complex baada ya dakika 90 ulisoma Yanga 2-1 Mashujaa ikiwa ni mchezo wa…