>

KITUO KINACHOFUATA SIMBA NI MOROGORO

BAADA ya kukamilisha mwendo katika hatua ya makundi na kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kituo kinachofuata ni mchezo wa Ligi Bara dhidi ya Tanzania Prisons. Mchezo wao wa mwisho katika hatua ya makundi msimu wa 2023/24 ilikuwa dhidi ya Jwaneng Galaxy hawakuwa na chaguo lolote zaidi ya kushinda. Ushindi wa mabao 6-0…

Read More

WASHIKA BUNDUKI WANA BALAA HAO

KLABU ya Arsenal imeweka rekodi mpya ya kufunga mabao mengi zaidi ndani ya Ligi Kuu England katika mechi saba mfululizo. Arsenal imefunga mabao 31 na kuipiku rekodi ya Man City iliyowekwa msimu wa 2017/18 ambapo ilifunga mabao 28. Arsenal pia imeandika rekodi mpya ya kuwa timu ya kwanza katika historia ya kushinda kwa mabao 5+…

Read More

BLAZING HEAT KASINO YA MATUNDA

Upungufu wa vitamin C mwilini husababishwa na kutokula matunda kwa wingi na mboga za majani, kuliona hilo Meridianbet wamekuja na mchezo wa matunda-Blazing Heat utakaongeza vitamin ya maisha yako kutokana na maokoto mengi. Blazing Heat ni mchezo wa sloti wa kasino ya mtandaoni uliotengenezwa na mtayarishaji Redstone. Hakuna cha kushangaza sana katika mchezo huu wa…

Read More

DUBE ANASEPA AZAM FC KUIBUKIA MITAA YA KARIAKOO

MUUAJI anayetabasamu Prince Dube ameomba kuondoka ndani ya kikosi cha Azam FC baada ya kuandika barua ya kuomba kuvunja mkataba wake. Dube ambaye amekuwa akiwatesa wababe wa Kariakoo hasa Simba amekuwa na zali la kuwafunga kila anapokutana nao kwenye mechi za ushindani amekuwa akitajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Kariakoo kati ya Simba na…

Read More

Ijue Safari ya Arteta Ndani ya Arsenal

Klabu ya Arsenal baada ya kuwa na mapito mbalimbali ya kutokuwa na nafasi nzuri ndani ya EPL hataimaye waliamua kumsajili aliyekuwa mchezaji wao Mikel Arteta ambaye mpaka sasa anakionoa kikosi hicho. Na haya hapa ndiyo mafanikio yake. Mikel Arteta alizaliwa 1982 mwezi Machi Hispania ambapo alicheza katika vilabu mbalimbali wakati akiwa kijana. Alicheza vilabu kama…

Read More

NAMNA MWAMBA PACOME ALIVYOWAVURUGA WAARABU

MWAMBA Pacome Zouzoa kiungo wa Yanga aliwavuruga Waarabu wa Algeria CR Belouizdad kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja wa Mkapa kutokana na kasi yake na pasi za uhakika akitumia zaidi mguu wake wa kulia. Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ilishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma Yanga 4-0 CR Belouizdad katika mchezo…

Read More

TIMU ZILIZOPO HATUA YA ROBO FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

SHIRIKISHO la mpira barani Afrika limetangaza kuwa litapanga hivi karibuni siku maalumu kwaajili ya kupangwa kwa tarehe maalum ya kufanyika droo ya kupata timu ambazo zitafanikiwa kukutana kwenye robo fainali. Tanzania imefanikiwa kuingiza timu mbili ambazo zimefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali. Timu nyingine ni pamoja na Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini, Esparence Tunis ya…

Read More

Kwapua Mpunga wa Jumapili na Meridianbet Leo]

  Mimi nakwambia kuwa anza Jumapili yako kwa kubashiri na meridianbet ambapo leo hii ligi mbalimbali zinaendelea na wewe una nafasi ya kupiga mkwanja wa maana kwa kubashiri kwa usahihi mechi zako. SERIE A, kitawaka sana leo ambapo Frosinone atakipiga dhidi ya US Lecce huku timu zote zikiwa zimetoka kupoteza mechi zao zilizopita. 2.30 kwa…

Read More