>

SIMBA KAMILI KUWAKABILI YANGA KWA MKAPA

SHOMARI Kapombe, beki wa kupanda na kushuka ndani ya kikosi cha Simba ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Kariakoo Dabi dhidi ya Yanga. Aprili 20 2024 mchezo wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mzunguko wa pili kwa timu hizo kukutana. Ipo wazi kwamba kwenye mzunguko wa kwanza ubao…

Read More

MAPILATO WA KARIAKOO DABI HAWA HAPA

BODI ya Ligi Kuu nchini imemtangaza mwamuzi wa kimataifa, Ahmed Arajiga kuwa ndiye atazisimamia sheria 17 za soka katika mchezo wa NBC Premier League kati ya Yanga dhidi ya Simba. Arajiga atasaidiwa na Mohamed Mkono kutoka Tanga, Kassim Mpanga wa Dar es Salaam huku mwamuzi wa akiba akiwa ni Tatu Malogo. Kariakoo Derby itachezwa Jumamosi…

Read More

YANGA: SIMBA WAKIJICHANGANYA KUKUTANA NACHO

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa watani zao wa jadi Simba wakijichanganya watawatuliza kimya kwa kuwa hesabu zao ni kupata matokeo kwenye mechi zote na sio dhidi ya Simba pekee. Yanga watawakaribisha Simba kwenye mchezo wa Kariakoo Dabi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa Aprili 20 2024 wao wakiwa ni wenyeji wa mchezo huo. Ipo wazi…

Read More

MERIDIANBET WATOA MSAADA MAKONGO DAR

Magwiji wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet imetembelea eneo la Makongo tawi la Mlalakua kwajili ya kutoa msaada wa vifaa vya usafi ambavyo vitasaidia kuimarisha usafi eneo hilo. Meridianbet mara kwa mara wamekua wakihakikisha wanarudisha fadhila kwenye jamii yao ambayo imewazunguka, Leo imekua ni zamu ya eneo la Makongo jijini Dar-es-salaam ambao ndio wamekua…

Read More

Bashiri na Meridianbet Mechi za Leo

Wikendi inaanza Ijumaa ye leo ambapo ligi mbalimbali zinatarajiwa kupigwa kuanzia kule Ujerumani mpaka Italia huku meridianbet wakikupa nafasi kubwa za kupiga maokoto ukisuka jamvi lako na kubashiri nao. Ingia sasa meridianbet ushinde pesa. Leo SERIE A saa 1:30 kutakuwa na mtanange mzito kabisa kati ya Genoa dhidi ya Lazio ambaye yupo nafasi ya 7…

Read More

MASTAA WALIOFUNGA KARIAKOO DABI

NGOMA inatarajiwa kupigwa Uwanja wa Mkapa, Aprili 20 2024 kwenye Kariakoo Dabi ambapo kila timu itakuwa kazini kusaka pointi tatu ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba kwenye mzunguko wa kwanza mchezo uliochezwa Novemba 5 2023 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga. Hawa hapa waliofunga Kariakoo Dabi tukianza na wenyeji Yanga namna hii:- Kennedy…

Read More

AZAM FC WABANANA NA MASHUJAA

AZAM FC matajiri wa Dar wametoshana nguvu dhidi ya Mashujaa kutoka Kigoma, mwisho wa reli katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Azam FC 0-0 Mashujaa kwenye mchezo wa mzunguko wa pili. Azam FC inasalia nafasi ya pili ikiwa na pointi 51 Mashujaa nafasi ya…

Read More

HUU HAPA MTAMBO WA MABAO SIMBA

NDANI ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha kuna mitambo mingi ya mabao lakini kwa sasa namba moja ni Clatous Chama. Ipo wazi kwamba kasi ya Chama msimu wa 2023/24 imeporomoka licha yakuwa na uhakika kikosi cha kwanza kuna sababu nyingi zinasababisha yote hayo ikiwa ni pamoja na wachezaji wa Simba kuongoza…

Read More

Shinda Mpaka 1,250,000/= TZS na Expanse Tournament Unakusubiri

Kubwa Zaidi kutoka Meridianbet ni promosheni ya Expanse ambayo inahusu michezo ya Kasino ya Mtandaoni, kupitia shindano hili unaweza kushinda mpaka 1,250,000/= TZS ukicheza sloti na michezo ya kasino kutoka kwa mtoa huduma wa Expanse. Jisajili Meridianbet kama bado ufurahie promosheni hii yenye kukupa bonasi za kasino kibao. Kila unapotembelea tovuti ya Meridianbet Kasino unakuwa…

Read More

YANGA WAIPIGA MKWARA SIMBA

JOTO la Kariakoo Dabi linazidi kupanda ikiwa ni siku nne kwa sasa zinahesabiki kabla ya mchezo huo kuchezwa Uwanja wa Mkapa na kila timu ikiwa kwenye hesabu za kupata pointi tatu. Yanga ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara na vinara wa ligi wamewapiga mkwara watani zao wa jadi kwa kubainisha kuwa wanhitaji pointi…

Read More

NYOTA YANGA NA OFA KIBAO MEZANI

INAELEZWA kuwa nyota wa Yanga ambaye ni chaguo la kwanza ndani ya benchi la ufundi la timu hiyo ana ofa kibao mezani kwa timu mbalimbali kuwania saini yake. Ni Clement Mzize anatajwa kuwa na ofa zaidi ya tatu mezani kwa timu kubwa barani Afrika kuhitaji saini yake kutokana na mwendelezo wake ndani ya uwanja kwenye…

Read More